Mafunzo ya Chanjo ya Haraka na Yenye Ufanisi kwa ajili ya Wataalamu wa Chanjo

Tathmini na fuatilia utendaji wa wahudumu wa afya, wapangie video zinazoboresha ujuzi muhimu wa chanjo, au angalia video fupi zenye masomo. Wakati wowote, mahali popote, na kwenye kifaa chochote.

Anza Kujifunza

Tathmini

Tathmini utendaji wa wahudumu wa afya kwa kutumia zana za ufuatiliaji na orodha za maswali

Jifunze

Angalia video fupi zenye mafunzo au ziteue kuangaliwa na wengine

Fuatilia

Fuatilia tathmini na kazi ulizopanga ili kuona jinsi gani utendaji unaboreshwa kadri muda unavyoenda