Jiunge nasi WhatsApp
Tuma ujumbe "join" kwenda +255 765 578 712 ili kujiunga kwenye orodha yetu ya Immunization Academy iliyopo WhatsApp.

Kuhusu Immunization Academy


Immunization Academy ni tovuti yenye video fupi za utendaji zinazopitia mada anuwai za chanjo.

Maarifa-yadaiwapo: Pata maarifa unayohitaji, wakati unayahitaji.
Kifaa Chochote: Tazama video kwenye kompyuta, tableti, au simu
Mtandaoni au Nje ya Mtandao: Tumia ukiwa mtandaoni au pakua ili kuboresha mafunzo katika sehemu yoyote
Msaada 24/7: Fanikisha malengo yako na ya EPI kama mtaalamu wa afya ya jamii.

Kuna Njia Nyingi za Kutumia Immunization Academy

Kujifunza kwa Kujitegemea
Mafunzo ya mara moja
Usimamizi Saidizi
Warsha za Darasani
Boresha Mitaala

Wataalamu Wote wa EPI Wanaweza Kufaidika na Tovuti Hii

Wabia wa Afya na wa Wizara ya Afya

Kuboresha upatikanaji wa maudhui yenye elimu yaliyoidhinisihwa na kuimarisha matokeo ya chanjo

Wasimamizi wa EPI

Shiriki na imarisha ujuzi na maarifa na yanayohitajika ili kuboresha utendaji wa mpango

Wahudumu wa Afya

Pata uelewa na tumia vigezo vya kisasa vya chanjo, ukirudi wakati wowote utakapohitaji

Kuhusu Wafadhili Wetu

Immunization Academy ni mpango wa kimataifa wa elimu unaowezesha upatikanaji wa haraka wa video fupi za utendaji zinazoboresha mafunzo na uwasilishaji wa chanjo kwa walengwa. Mpango huu umefadhiliwa na Bill & Melinda Gates Foundation na kuongozwa na wataalamu wa elimu wa Bull City Learning wakitumia muongozo ulioidhinishwa na Shirika la Afya Duniani.

Unganika na Maarifa Unayohitaji

Sajili kama mtumiaji
Fuatilia video na jadili maudhui na wengine
Tuma Maoni
Tuambie ni kwa jinsi gani video zinasaidia na tushauri namna ya kuboresha huduma zetu
Jiunge nasi WhatsApp
Tuma ujumbe "join" kwenda +255 765 578 712 ili kujiunga kwenye orodha yetu ya Immunization Academy iliyopo WhatsApp.